1:kwanza changamoto ya kwanza mbona sioni database kwenye phpmyadmin
so nataka uiewek kwenye php myadmin ili badae ninapo host kwenye namecheap yangu
nisi pate shida https://anglican.habariadventure.org/
2.hapo kwenye mimi kama damini nataka uniwekee toogle witch ambapo
nita fungua dirisha la usajili na instead ya kusajili member
mmoja mmoja manualy mimi nita open dirisha la usajili pale kwenye
login formkuta kua na button ya create account then watu wakimaliza
kujisajili basi mimi nita funga dirisha la usajili na ita kua simple
kwaio hapo kwenye login form kuta kuepo na button ya registration 
3:nataka ubadilishe mwonekano wa login form uwe huu wa kwenye
hii picha login.png